Medical opinion
Tunawasilisha reports kwa review na kukusaidia kuelewa majibu ya kitabibu.

KWA WAGONJWA NA FAMILIA
MeGMeT ni huduma ya uratibu, si hospitali. Tunapokea reports kwa ridhaa yako, tunaratibu medical review, hospital options, gharama, consultation, safari na follow-up—ndani ya Tanzania au nje ya nchi.
TUNACHORATIBU
Mratibu mmoja anakusaidia kukamilisha nyaraka, kuomba majibu kutoka kwa huduma zinazofaa, kuelewa kilichojumuishwa kwenye gharama na kupanga hatua zinazofuata. Maamuzi ya kitabibu hubaki kwa daktari; uchaguzi unabaki kwako.
Tunawasilisha reports kwa review na kukusaidia kuelewa majibu ya kitabibu.
Tunatafuta options zinazoendana na huduma, muda na budget yako.
Tunasaidia kupanga miadi, visa, usafiri, malazi na escort inapohitajika.
Tunasaidia handover na mawasiliano ya follow-up baada ya matibabu.
HATUA KWA HATUA
Tuma taarifa na reports ulizonazo.
Mratibu anakagua kama kuna kinachokosekana.
Pokea hospital options, treatment plan na estimate.
Chagua unachokubali; tunaratibu hatua inayofuata.
KABLA YA KUANZA
Hospitali ya mwisho na treatment plan huamuliwa baada ya medical review na ridhaa ya mgonjwa.
Wasiliana nasi
Tuma taarifa za msingi kwa fomu salama au tuandikie WhatsApp.