Kuja kutibiwa Tanzania
Tunaratibu hospitali, miadi, malazi na ufuatiliaji kwa wagonjwa kutoka Afrika na nje ya bara.
Angalia njia hii
HUDUMA KATIKA KILA HATUA



Picha hizi zinaonyesha aina ya huduma tunazoratibu; si ushuhuda wa wagonjwa halisi.
Tunaratibu huduma—hospitali na madaktari waliothibitishwa ndio hutoa maamuzi na matibabu ya kitabibu.
NJIA TATU ZA KUSHIRIKIANA
Tuma reports, pata medical opinion, makadirio ya gharama na uratibu wa safari.
Huduma kwa wagonjwa 02Mrejelee mgonjwa kwa mpangilio wenye mawasiliano wazi na ufuatiliaji wa pamoja.
Kwa madaktari na clinics 03Tuunganishe wagonjwa wanaofaa na huduma maalumu za kituo chako.
Ushirikiano wa hospitali
UPATIKANAJI MDOGOMEET YOUR DOCTOR
Baada ya kupitia case yako, tunakupangia consultation na daktari anayefaa ili uelewe diagnosis, treatment options na hatua inayofuata.
Daktari, muda na eneo hutathibitishwa kwa maandishi kabla ya consultation. Hii si huduma ya dharura.
TWO-WAY CARE NETWORK
Tunaratibu hospitali, miadi, malazi na ufuatiliaji kwa wagonjwa kutoka Afrika na nje ya bara.
Angalia njia hiiPata hospitali inayofaa, treatment plan na gharama kabla ya kupanga safari yako.
Angalia njia hiiNCHI NA HUDUMA
Nchi au kituo cha matibabu hupendekezwa baada ya kupitia medical reports, aina ya tiba, muda na uwezo wa kifedha wa mgonjwa.
Specialties tunazoratibu
KWA NINI UTUMIE MEGMET
Mratibu wa MeGMeT anabaki sehemu yako ya mawasiliano kuanzia reports hadi follow-up.
Tunatenganisha professional fees, coordination fees na gharama za hospitali kabla ya malipo.
Reports hushirikishwa kwa madhumuni ya case yako tu; hospitali, daktari na hatua inayofuata huchaguliwa na mgonjwa.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Pakia reports salama na utuambie unachohitaji.
Mratibu anakagua taarifa na kuuliza chochote kilichokosekana.
Tunawasilisha majibu ya hospitali, treatment plan na estimate.
Tunasaidia miadi, visa, usafiri, malazi na ufuatiliaji.
ANZA HAPA
Tuma taarifa za msingi na reports ulizonazo. Mratibu wetu atakupigia au kukutumia ujumbe baada ya kuzipitia.
MWONGOZO WA MGONJWA
Documents gani hospitali inahitaji ili kutoa medical opinion yenye maana.
Soma makala →MEGMET GUIDE · 5 MINKuelewa makadirio ya gharamaMaswali ya kuuliza ili kujua kilichojumuishwa na kisichojumuishwa kwenye estimate.
Soma makala →MEGMET GUIDE · 5 MINChecklist ya safari ya matibabuHatua muhimu za kuandaa visa, dawa, escort na mpango wa kurudi nyumbani.
Soma makala →MASWALI YA MARA KWA MARA
Tuma ujumbe wa WhatsApp au email. Tutakusikiliza, kupitia taarifa ulizonazo na kukueleza hatua inayofuata.
Jaza fomu salama au tutumie WhatsApp. Taarifa za msingi na medical reports hutusaidia kupata majibu yenye maana.
Kila estimate hutegemea majibu ya hospitali na itaonyesha gharama zilizotajwa. Safari, malazi au gharama nyingine hutenganishwa pale zinapohusika.
Ndiyo. Unaweza kutaja preference yako, lakini recommendation ya mwisho hutegemea medical review, muda na budget yako.
Ndiyo. Baada ya treatment plan kuthibitishwa tunaweza kusaidia miadi, nyaraka za visa, usafiri na malazi.
Reports hutumwa kupitia fomu salama na hutumika kwa madhumuni ya kuratibu ombi lako la matibabu.
Hapana. Kwa hali ya dharura, tafuta huduma ya hospitali iliyo karibu mara moja.
ABOUT US
MeGMeT (Mela Global Medical Tourism) ni kampuni ya uratibu wa matibabu kutoka Tanzania. Sisi si hospitali na hatutoi diagnosis. Tunakusanya taarifa kwa ridhaa, tunaratibu majibu ya madaktari na hospitali, tunafafanua gharama na kusaidia miadi, visa, safari, malazi na follow-up. Mgonjwa huona options na kufanya uamuzi wake kabla ya hatua yoyote kulipiwa.
ONGEA NASI
Tuma ujumbe wa WhatsApp au email. Tutakusikiliza, kupitia taarifa ulizonazo na kukueleza hatua inayofuata.