Case preparation
Tunapanga clinical summary, reports na vipimo muhimu kwa ridhaa ya mgonjwa.

KWA MADAKTARI NA CLINICS
MeGMeT inasaidia kuandaa case, kupata majibu ya hospitali na kuratibu safari huku referring clinician akiendelea kupata taarifa muhimu.
TUNACHORATIBU
Tunashughulikia mawasiliano na logistics bila kumtenga daktari anayemfahamu mgonjwa.
Tunapanga clinical summary, reports na vipimo muhimu kwa ridhaa ya mgonjwa.
Tunaratibu majibu, plan na estimate kutoka kwa huduma zinazofaa.
Tunasaidia kuweka taarifa muhimu wazi kwa mgonjwa, familia na clinician.
Baada ya matibabu tunasaidia nyaraka na mpango wa follow-up nyumbani.
HATUA KWA HATUA
Tuma ujumbe wa referral na uthibitishe ridhaa ya mgonjwa.
Shiriki clinical summary na reports zinazohusika.
Tunaratibu review, options na mawasiliano ya hospitali.
Mgonjwa akichagua, tunasimamia logistics na return handover.
KABLA YA KUANZA
MeGMeT haitoi diagnosis; maamuzi ya kitabibu hubaki kwa wataalamu wanaomhudumia mgonjwa.
Wasiliana nasi
Tuandikie kwa utambulisho wa clinic na maelezo mafupi ya huduma inayotafutwa.